Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...
Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini DRC baada ya waasi wa M23 kuteka sehemu ya mji mkuu wa Goma na kusababisha barabara kuu kufungwa. Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amezungumza na ...
Kiongozi wa waasi ambaye wapiganaji wake wameuteka Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ameapa kuendelea na mashambulizi hadi mji mkuu, Kinshasa. Corneille Nangaa ...
Ini ni kiungo katika mwili wa binadamu kinachofanya kazi muhimu sana kama kuchuja, kupambana na hata kuondoa sumu mwilini. Kuna vitu vingi vinavyoweza kusababisha homa ya ini lakini katika makala hii ...
MOTO asilia au wa nyika usiozimika ama mgumu kudhibitika unateketeza sehemu kadhaa za jiji la Los Angeles kwenye jimbo la Calfornia nchini Marekani. Umesababisha vifo vya takriban watu 16, kuharibu ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.