"Sherehe ya Oscars, ambayo bado siku 47 tu, itaendelea kama ilivyopangwa, na wala hakutakuwa na kuongeza muda kwa wapigaji kula wala uteuzi moto unaoendelea hauhusiani na tuzo,” kilisema chanzo hicho.
Alipinga matokeo hayo akisema yamechakachuliwa. Vyama vyote viwili vya upinzani nchini Msumbiji - Renamo na MDM - vilisusia sherehe ya kuapishwa kwa Chapo vikidai kuwa ushindi sio halali.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama baada ya kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Bikira Maria Mama wa Mungu na Mwaka Mpya 2025 katika Kanisa ...