KATIKA kipindi cha miaka 25 iliyopita, Tanzania imetekeleza dira ya maendeleo ya taifa 2025, ambayo ililenga kuinua uchumi wa nchi hadi hadhi ya kipato cha kati. Dira hiyo iliyoanza kutumika mwaka ...
Kuna mambo yamenifikirisha kuhusu Isak katika mchezo wa soka. Wazazi wake wametokea wapi? Eritrea. Moja kwa moja yeye ni Mueritrea. Likizo zake huwa anambeba baba yake pamoja na kaka yake kwenda ...
Kuweka malengo ya kifedha ni hatua muhimu ya kuhakikisha unadhibiti fedha zako na kufanikisha mipango yako ya maisha. Malengo ya kifedha yanakupa mwongozo na nidhamu inayohitajika kufanikisha ...
Unguja. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema maono ya Serikali ni kusomesha watoto kuwa wataalamu wanaoweza kuajirika ndani ya miradi inayowekezwa nchini. Amesema elimu inayotolewa inatakiwa ...
DAR-ES-SALAAM : KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa, amependekeza kuwa wafanyabiashara wadogo wapewe elimu ya sheria ya kodi, kwani wengi wao hawana ...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama chake cha ACT Wazalendo. Othman ...
Taarifa za hospitali ya Al-Nasser zimesema shambulio la Israel limewaua watoto watatu, wanaume wanne na wanawake watatu. Migogoro 02.01.2025 2 Januari 2025 ICC yaanza vikao vya kila mwaka mjini ...